NIMEANZISHA BLOG HII HASWA KWA LENGO LA KUKUMBUSHANA NA KUWAENZI WALE WALIOIWEZESHA TASNIA HII YA MZIKI WA WANAHARAKATI WA HIPHOP!!
KAMA INAVYOJULIKANA HIPHOP NI MZIKI WENYE HISTORIA KUBWA ULIMWENGUNI AMBAO ASILI YAKE NI HUKO AMERICA!!
SO KWA UCHACHE NA KWA YALE NILIYOJAALIWA KUWANAYO KTK AKILI YANGU !! NIMEONA SI VIBAYA NIKASHARE NA WENZANGU !!
NA UHAKIKA KUPITIA HARAKATI ZANGU NA ZENU PIA WADAU MZIKI WA HIP HOP DAIMA UTASIMAMA SHOKA!!
AMANI KWA WOTE!!
Oi, mia mzazi. Nimeshea hizi habari katika Wikipedia ya Kiswahili. Vilevile nimeweka blogu yako kama references.. Nimefurahi kuona hizi kazi zinaishi. Pamoja kutoka DAR..
ReplyDelete